Pongezi kwa star tv.

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,566
Reaction score
13,770
hongereni sana kwa kuwa na vifaa vya kutosha na vya kisasa(camera)za kuonyeshea mpira live,hususani kama huu wa leo wa taifa stars na congo drc,picha zilikuwa safi,utadhani super sport!sio wale tbc pamoja na kula hela ye2 za walipakodi walionyesha mpira utadhani sehemu moja ya uwanja ni mchana na nyingine ni ucku!kingine hata tukio kurirudia hawawezi!goli likifungwa kama ulikuwa umeangalia pembeni ndio bac tena!imetoka.kazeni msuri star tv,acheni hao na mavipindi yao ya chereko chereko.kurudia rudia vipindi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…