Kuna vitoto vinambeza Prof. Hua naangalia nasema legacy yake katika Taifa ni kubwa ndio maana kila Rais hataki kumwachiaJanabi na team yake wako vizuri. Huyo ndiyo Professor wa Taifa
Kuna vitoto vinambeza Prof. Hua naangalia nasema legacy yake katika Taifa ni kubwa ndio maana kila Rais hataki kumwachia
Siku hzi tunao madaktari ambao unaweza ukafikiri ni Malaika wameshushwa kutoka Mbinguni; kwa kazi na kwa maadili piaHuduma za afya kwa hospitali za Umma mara nyingi zimekuwa zikilalamikiwa na jamii kuanzia matibabu mpaka lugha kwa wagonjwa, lakini utofauti mkubwa umeonekana Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete.
Pongezi nyingi kwa Mkurugenzi na Madaktari wote bila kusahau dawati la huduma kwa wateja (Customer Care Desks).
Mnaitendea haki JKCI.
ππππππππ
Mkuu, huduma nzuri sio guarantee ya kutokupoteza uhai, madaktari wanapambana kwa kiasi chao lakini inapotokea jitihada zao kugonga mwamba wanakuwa hawana namna.Siku hzi tunao madaktari ambao unaweza ukafikiri ni Malaika wameshushwa kutoka Mbinguni; kwa kazi na kwa maadili pia
Mkuu, tumelinganisha na hospitali zetu za UMMA tulizonazo.Hamna hospitali hapo ndiyo maana rais,makamu waziri mkuu akiugua hawezi kupelekwa hapo zaidi atapelekwa India au ulaya.kama umetembelea Nchi nyingi utagundua hapo hamna kitu