Pongezi kwa TARURA Manispaa ya Ubungo kwa kazi nzuri katika jimbo la Kibamba /Kiluvya Gogoni

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Leo tarehe 2/10/2022 nimepita maeneo ya Kiluvya Gogoni kuelekea kwa kawawa/pamoja na shule za sekondari hondogo nimekuta mabadiliko makubwa ya miundombinu, barabara imepigwa mkeka safi kabisa.

Pongezi kwa viongozi lakini Pongezi nyingi kwa Rais Mama Samia kwa kuidhinisha mabilioni kwa TARURA ili kuondoa kero za barabara kwa wananchi.

Ushauri: Pamoja na kazi nzuri, nashauri TARURA watupie jicho kipande cha barabara inayo elekea kwenye shule za Sekondari hondogo, kipande hicho kimekuwa kero kubwa kwa wanafunzi wetu na wanabchi wengi wa maeneo hayo. Kipande hicho kwa sasa hakizidi hata KM2.

Kazi iendeleee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…