realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 3,925
- 8,853
Watu wengi wameandika kuwakosoa lakini hii ni ishara kuwa mmefanya kitu kizuri machoni pa watu.
Maboresho mnayoendelea kuyafanya kila Mwaka yanatia matumaini ya kufika mbali zaidi kuliko kutokufanya chochote.
Naupongeza uongozi Mzima kwa kuja na kitu kizuri ukiachilia mbali mapungufu madogo madogo yanayoonekana ambayo wengi wana majibu ya maswali yao.
Tunajua ni kwa jinsi gani mnatumia akili kubwa ya kubuni vitu vizuri.
Hili linavutia sana.
Kuna msemo unaosema kuwa ukitaka usikosolewe basi usiwe mtu na usifanye Chochote.
Kwa asilimia kubwa Jezi zinavutia sana. Mko vizuri. Endeleeni kupambana.
Ni mimi mdau wa Maendeleo.