Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,306
Pongezi nyingi kwa TPB na Vodacom Tanzania kwa huduma maridhawa ya M-Koba. Nimefurahi kukuta sasa mtu mwenye laini ya simu ya mtandao wowote anaweza kuwa mwanachama wa M-Koba. Mbona kimyakimya? Hili ni jambo kubwa sana. Lilipaswa kuzinduliwa kwa mashamsham yote.
Fursa ya Kuboresha: Wekeni uwezekano wa makato kutoka kwenye mishahara ya watumishi wa umma na wa sekta binafsi, au kupitia 'standing orders' za benki, kuhamisha sehemu ya mshahara au kipato cha kila muda fulani, e.g., mwezi automagically kutoka benki kwenda kwenye mfuko wa M-Koba.