Pongezi kwa Tundu kuamua kugombea uenyekiti wa chama cha cdm

Pongezi kwa Tundu kuamua kugombea uenyekiti wa chama cha cdm

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia,. Tusisahau yaliyo mkuta Chacha wangwe (r.i.p), Zito kabwe n.k. Mwenye kiti hayuko tayari kung'atuka!!!.
Lisu anasifa zaidi kuliko mbowe, kitaaluma, uzoefu ktk nafasi mbalimbali, ushawishi n.k.
 
Ila kiukweli CHADEMA inahitaji fikra mpya.

Saivi upinzani upo kwa wananchi wenyewe. Wamepoteza interest na hivi vyama.
 
Mbona ccm michakato ya kwenda kuchaguana huwa haina mkururo kama huu wa chadema? Ni kama ubabe fulani hivi
 
Back
Top Bottom