Pongezi kwa Uganda kwa kutunga Sheria kali dhidi ya Ushoga

Pongezi kwa Uganda kwa kutunga Sheria kali dhidi ya Ushoga

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Katika Nchi za Afrika Mashariki, Nchi ya Uganda imedhamiria kwa dhati kulinda maadili na utamaduni wa kiafrika kwa kutunga sheria kali ya kuwanyonga Hadi kufa mtu yeyote atakaye thibitika kuwa anajihusisha na mapenzi ya jinsia moja yaani USHOGA na Usagaji.

Uganda sio mahali salama kwa mashoga.
mashoga wana haha.
wameambiwa wachague mambo mawili kukabiliana na Kifo ama kuacha hiyo tabia chafu.

Hongera kwa Taifa la Uganda hongera kwa Rais Museveni na kwa Bunge la Uganda kwa kuamua kwa vitendo.
 
Ngoja mashoga waibuke hapa ,To yeye,cocastic na DIVISION FOUR utaukimbia Uzi wako hapa

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Wasi wasi ndio akili.

Hii vita inatakiwa ipigwe kimya kimya, zaidi ya hapo utaishia kupigana na mabeberu.
 
Nasikia shoga baiden amewapiga mkwara ugandaa ety wanachokitafuta watakipataa,,..

Museven najua ww n dikteta ilaa ktk ilii shikilia hapo hapoo wnyongwee tu wanaume walioamua kuwa mabintii...
 
Back
Top Bottom