BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Wakati naanza kufanya biashara ya maji wengi walinishangaa na kusema ona huyu mchaga anatuuzia maji lakini leo maji ya Kilimanjaro ni miongoni mwa biashara kubwa. Huyo ni The Late Dkt. Reginald Mengi bilionea mwenye mchango mkubwa kwa Taifa.
Hii ni acknowledgement na hakuna intention mbaya ya kudharau wala kudhihaki makabila mengine. Ndugu zetu wametufundisha kutafuta hela na hawakuishia hapo tu na pia wakatufundisha jinsi ya kuitumia.
From eastern part of Tanzania.