BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Mengi kaondoka na akili yake hawana ubunifu waliobaki..But it's very sad to see Kilimanjaro water is now in downward trend.
Kabisa wamebaki kujivunia kuwa wao nibrand kubwa quality akat kina Jambo wameanza 2015 Leo hii wanaproduction line sawa nazaid ya Kilimanjaro angalia kina afya wamekuja waacha mbali uhai ktk soko la maji akat soko la maji dar lilitakiwa giant wake awe uhai kulingana na muda aliokuwa sokoni angekua na production line nyingi nakubwa zenye uwezo wakukidhi soko la dar naamikoani reguardless of qualitiy now sio ishu kwa retail anaangalia profit final user wao wanatarget ujazo na ubore kias Hadi atoshekeMengi kaondoka na akili yake hawana ubunifu waliobaki..
Hayo maji sijaoni kabisa hapa mbele yangu naona Uhai hata Yale ya MAVI yatakuja wapita ...Mengi alikuwa mbunifu ila toleo la waliobaki wanatembelea kivuli cha mengi ila ubunifu iko kiwanda hamna kabisa.Kabisa wamebaki kujivunia kuwa wao nibrand kubwa quality akat kina Jambo wameanza 2015 Leo hii wanaproduction line sawa nazaid ya Kilimanjaro angalia kina afya wamekuja waacha mbali uhai ktk soko la maji akat soko la maji dar lilitakiwa giant wake awe uhai kulingana na muda aliokuwa sokoni angekua na production line nyingi nakubwa zenye uwezo wakukidhi soko la dar naamikoani reguardless of qualitiy now sio ishu kwa retail anaangalia profit final user wao wanatarget ujazo na ubore kias Hadi atosheke
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Kwa misingi ipi?