Itakuwa kiitikio kwenye zile nyimbo za kampeniMachawa wasiione hii madaπππ
Watakavyo ikomalia, kusifu na kuabudu kama wameahidiwa kwenda nchi ya ahadi.Machawa wasiione hii madaπππ
Iwapongeze kwa kujitoa kwao vilevile waandaliwe tafrija ili watambuliwe rasmi.But all in all serikali iwapongeze