Pongezi kwa walimu wa kibaha high school.

Pest

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2014
Posts
212
Reaction score
128
Ukweli hawa walimu kibaha wapo vizuri,maana wanapatikana kwa njia nzuri,tofauti na wanayotumia wizara ya elimu .huwaz kwenda kufundisha shule hii bila kusailiwa na sekretarieti ya ajira,ni miongoni mwa shule ambazo sipo chini ya shirika la umma ambalo chini ya ofisi ya waziri mkuu.naomba na wizara ya elimu iige mfano wa shule hii ktk kuajiri walimu hata mishahara yao tofauti na walimu wa tamisemi.sifa zenu walimu wote wa kibaha tunaöna matokeo yenu both A -level na O-level
 
hamna kipya nafasi ya 40 kitaifa O-LEVEL hamna cha maana
 
Shule yako imekuwa yangap? Na kwa a-level unaona matokeo yake,mavi wew.acha wivu kama demu
 
Kibaha ipo vizur ktk shule za serikali hasa A-level,kum bora huwa hawakosi hawa jamaa,mim nawakubali sana,huwez fananísha na mzumbe.hacha ubishi.
 
Back
Top Bottom