Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Hivi viswali vyangu mpaka Leo bado havijapata majibu!?
 


Umejitahidi sana kuuelezea ukweli.
 
Hiyo ardhi awali ilikaliwa (kwanza) na Wafilisti kaka, kabla Joshua hajaamuriwa awasngamize wenyeji wote ili Israel akae.

Tukiongea uongo hata haisaidii ukristo wetu
Muwe mnafafanua sasa hao Wafilisti ndo wakina nani? Waarabu au wapalestina
 
Mbona almost ya maswali yako yote yamejibiwa na mleta uzi?
 
Hivi wakatoliki wa peramiho leo hii wakisema wanaanzisha nchi yao hapo peramiho kwa kuwa wapo 100% wakatoliki na eneo hilo walipewa na Wajerumani walipokuwa wanatawala kimabavu basi ndiyo imeshakuwa sawa hivyo?
Punguza udini bibi
 
Nataman wanaorejea biblia, quran, torati wasubiri kwanza nje tutawaita.
Huu mjadala tunawahitaji zaidi wanahistoria. Tunahitaji facts siyo manipulations!
 
Linapokuja suala la wapalestina ambao hawatajwi kwenye maandiko yenu probably because of "oversight" mnajitahidi kuokoteza okoteza vijimaneno mara UN sijui sheria za kimataifa kukidhi haja zenu ovu!

Kwa kuwa Israel imetajwa vilivyo na kwa ufasaha kwenye maandiko yenu mnatamani isingekuwa hivyo; unfortunately imeshakuwa.

Israel imetambuliwa vilivyo toka enzi; Mungu wa Yakobo anaitambua; Allah anaitambua; falme zote za kale ziliitambua unaleta vimifano vya kijinga humu!
 
Wapalestina siyo wafilisti wapalestine ni waarabu na wala asili ya jina palestinians siyo kiarabu hilo jina lilibuniwana mrumi kwa lengo la kufuta taifa la Israel
 
Hivi kwenye biblia wewe au taifa lako limetajwa?

Nakumbuka kuna mwanamke alifananishwa na mbwa na Yesu, ndiyo ukoo wako yule? Unakumbuka huo mstari?
 
Hivi kwenye biblia wewe au taifa lako limetajwa?

Nakumbuka kuna mwanamke alifananishwa na mbwa na Yesu, ndiyo ukoo wako yule? Unakumbuka huo mstari?
Umesikia ukoo wangu unang'ang'ania ardhi isiyotuhusu?
 
Umesikia ukoo wangu unang'ang'ania ardhi isiyotuhusu?
Usikimbie sali kwa kuuliza swali kabla hujajibu uli houlizwa, huo ni ujinga. Jikumbushe:

Hivi kwenye biblia wewe au taifa lako limetajwa?

Nakumbuka kuna mwanamke alifananishwa na mbwa na Yesu, ndiyo ukoo wako yule? Unakumbuka huo mstari?
 
Miaka 1800+ hawakuingiliana na jamii zingine huko walikokua?.

Je Judea ile ndiyo hii nchi yote inayozozaniwa!?

Kama yesu alikua na rangi ya shaba kwanini netanyahu ni mweupe pee!?
Kama hitler aliweza kuwatambua akawakamata na kuwaua inaonyesha wazi hawa watu hawakuimgiliana na jamii nyingine kiasi cha kupoteza identity yao.
 
HUU SIO MGOGORO NDUGU YANGU. MUNGU ANAJITAMBULISHA KWA WATU DUNIANI KUPITIA MAAGIZO NA MAONYO ALIYOYATOA KWA MANABII. utakuta wafuasi wa yesu kila kukicha wanamuomba mungu Israel ishinde na wafuasi wa mohamad
humuomba mungu ili wapalestina washinde. mgogoro huu hauna usuluhishi kabisaa na hautatuliki.
 
Wengi wanakosea sana.

Mfano wa wayahudi kupewa kipande cha ardhi ya Palestina na Waingereza ni kama Italy walipowapa Wakatoliki kipande cha ardhi 2929 na kuifanya Vatican kuwa nchi.

Mazayuni hawakuridhika sasa wanataka ardhi yote iwe yao.

Msichanganye mayahudi (dini) na mazayuni (harakati).
 
Ila Wafilist ni jamii iliyotoweka, haipo tena duniani.
J ni nini kilitokea wayahudi wakawa wakaazi pela badala ya hao ?
Russia ilimuuzia Marekani eneo lake liitwalo Alaska huko miaka ya 1800s, kipi kitampatia Urusi uhalali Urusi kulidai upya jimbo hilo kwamba ni la kwake.
 
Wayahudi hawakupewa kama hisani, walikuwepo pale miaka yote kabla hata ya Uingereza na Wayahudi ndiyo walinyang'anywa maeneo yao kipindi cha uttawala wa Ottoman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…