Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Hivi wakatoliki wa peramiho leo hii wakisema wanaanzisha nchi yao hapo peramiho kwa kuwa wapo 100% wakatoliki na eneo hilo walipewa na Wajerumani walipokuwa wanatawala kimabavu basi ndiyo imeshakuwa sawa hivyo?
Unaanza kuvurugwa. Una ugomvi gang na wakatoliki? Mbona ugomvi wa wayahudi unaingiza ukatoliki.

Anyway surat al isra 17 inatambua Israel kuishi ardhi yao
 
Unaanza kuvurugwa. Una ugomvi gang na wakatoliki? Mbona ugomvi wa wayahudi unaingiza ukatoliki.

Anyway surat al isra 17 inatambua Israel kuishi ardhi yao
Wakatoliki ndiyo walianza kuwauwa wayahudi Ulaya na kuwafukuza huko, Waanglikana wakawapa eneo la Palestina walilokuwa wanalikoloni.

Wayahudi hao huko walipopewa hifadhi ya ukimbizi sasa hivi hawataki hata jina la Yesu litajwe, labda hapo utaelewa kwanini waliuliwa na kufukuzwa Ulaya na mkatoliki Hitler labda pia utaelewa kwanini na mkatoliki Nyerere aliwafukuza Tanzania na kufunga ubalozi wao.
 
Wewe ng'ombe unaweza kuwatoa wahindi pale posta , kariakoo na Ilala warudi kwao?
 
Bora hata na wewe umeongea ukweli.
Muingereza anapaswa kulaumiwa kwa hili. Aliwapatia ardhi watu wasio takiwa kwenye ardhi hiyo.

Bora wangepewa Uganda
 
Bora hata na wewe umeongea ukweli.
Muingereza anapaswa kulaumiwa kwa hili. Aliwapatia ardhi watu wasio takiwa kwenye ardhi hiyo.

Bora wangepewa Uganda
Ukisoma historia ya European Jews settlers utaja baini Wayahudi walikuwa ni watu wa hila sana. Waliwasumbua sana uingereza. Hata kutaka kulipua majengo ya serikali.
Mwisho wa siku muingereza akaona isiwe tabu, kukaa na hawa watu hatari haiwezekani. Akaamua kuwasaidia kuwarudisha Mashariki ya kati kwa kuunda taifa lao jipya.
 
Ndio waliuwawa wote. Kilikuwa kizazi cha laana.
 
Mkuu taifa la Israel rasmi lilianzishwa mwaka 1948 kwa msaada wa Serikali ya Uingereza na Marekani ndio walichukua jukumu la kuwasafirisha Jews kutoka nchi mbalimbali za Ulaya kwenda Israel na hata Raman ya Nchi ya Israel rasmi imeingia ktk uso wa Dunia mnamo mwaka huo kabla ya hapo hakukuwa na taifa la Israeli duniani
 
Faiza huu mgogoro wa sasa umekufanya unakuwa unacomment kwa hasira mno.Kila mada ya huu mgogoro wewe ni kufoka tu [emoji3]
Wayahudi tu wakiuwa ni sawa. Hufahamu kuwa mungu wetu ni myahudi?
 
Sasa Faiza kama huwezi kuhimili joto la huu mjadala si ubaki kuwa msomaji tu.Unataka kujadili na wakati huo huo unataka kila mtu akubaliane na mawazo yako,wakija wenye mitazamo tofauti unarusha povu kushoto kulia [emoji3]
Mnapotosha ukweli Kwa maslahi ya nani
 
Kina mfalme Daudi na sulemani walitawala nchi ngani mkuu ??
 
Kwa akili yako unafikiri wapalestina ndio wafilisti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…