Pongezi kwa Zakazakazi kuufafanua mgogoro wa Israel na Palestina kwa facts na kuweka udini pembeni

Kama haiwezekani basi ifute historia uandike yako. Utapata PhD kuja na kitu kipya, hayo niliyokufahamisha yapo mtandaoni wala usipate tabu kutafuta. Tumia google tu.

Siku hizi elimu kiganjani.
haiwezekani na haitakaa iwezekane eti wayahudi origin yao ni middle east yote, basi wavaa kobasi wowe wa middle east ndo wanatakiwa waondoke wawaachie wayahudi eneo lao maana hao ni wavamizi tu hapo.
 
Kama haiwezekani basi ifute historia uandike yako. Utapata PhD kuja na kitu kipya, hayo niliyokufahamisha yapo mtandaoni wala usipate tabu kutafuta. Tumia google tu.

Siku hizi elimu kiganjani.
nani alikudanganya kuwa Phd inapatikana kwa kuja na kitu kipya.

hv FaizaFoxy huko shule ulienda kusoma ujinga?
 
Wa-Israel wenyewe kwa maandiko yao wanaanzia historia yao hapo walipo leo kwamba Mungu ndipo alipompa Ibrahim baada ya kumuambia atoke Ukaldayo sasa mtu gani mwingine atadai Iraq ni kwa Wa-Israeli?!
Hata hatuelewani, ngoja nikae kimya tu.
 
Majini mbwenduko yatabisha huu ukweli acha ukweli ubaki ukweli

Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 

Umekopia kitabu gani story hizi ???
 


RABBI HUYU ANASEMA WAKRISTO HAWANA HAKI YA KUISHI


View: https://www.youtube.com/watch?v=Xb80Zhhba7E
 
Muache kujificha nyuma ya mgongo wa nchi ya Ahadi, ukirusiwa hii kila mtu anaweza kwenda sehemu kujimegea pande.
 
Kabisa mkuu njaa haina muislamu au mkristo, bomu halichagui muislam au mkristo likitua ni pale pale , haya tuyasikie tu kwa wenzetu

Halafu kuna watu wanashadadia watu flani wamepigwa ,wapigwe wakome doesn't make sense indeed
 
Je waliangamizwa wote? thibitisha
 
haya mambo bwana yanatatanisha sana, unaweza kuta the real Jews ni sisi WaAfrica.

Hata Australia iliundwa na wafungwa, USA na Uingereza wanaijua siri ya hawa akina Netanyau walipotoka lakini real Jews ni African.
 
Isaka alimzaa Esau na Yakobo(mapacha),Yakobo alimfanyia unyang'anyi wa baraka za Isaka kwa Esau.Esau alijiapiza kumuua Yakobo na Yakobo akakimbilia kwa mjomba wake.
Yakobo alipewa jina jingine na Mungu na akaitwa Israel,na nikizazi chake tu ndiyo waitwa wana wa Israel.

Ikiwa,Esau na kizazi chake siyo wana wa Israel na siyo waisrael.Je,Esau na kizazi chake wanaitwaje?,nchi yao ni ipi?Race yao ni ipi hapo mashariki ya kati?Ikiwa ahadi ya Mungu ni kwa Isaka,kwa nini Esau siyo sehemu ya ahadi?.

Naomba majibu ya maswali yangu hayo manne.
 

Weka ushahidi wa uwepo wa Israel kabla ya mwaka 1948.
Hakuna huo ushahidi anaepinga jambo hili ni mjinga wa historia
 
Grand reasoning yako imekaa ki HAMAS HAMAS...!
 
Grand reasoning yako imekaa ki HAMAS HAMAS...!
Hamas ni vijana walioudhihirishia na kuufundisha ulimwengu kuwa usife huku unaonewa. Kufa huku unasikika unachokifia ni nini.


Kuna somo kubwa sana hapo kwa wenye uelewa.
 
Kuna watu wanaandika uongo mpaka unajiuliza, hizi habari wanazitoa wapi ?
 
Umeandika kwa hasira sana.
Kumbuka, hata taifa la wapalestina halikuwahi kuwepo. Pia Wayahudi hawakuwa wakimbizi pale. Hawakupelekwa na mtu, ni kwao, wapalestina pia ni kwao.

Kwani Wayahudi ni kina nani hasa ?
 
Watajuana wenyewe hao. Tuendelee na sisi kupambana na mkoloni CCM. Bora wayahudi wangepewa ardhi huku Tanganyika pengine tungekua mbali kimaendeleo wangesaidia kusukuma gurudumu la maendeleo kikamilifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…