Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Acha Leo nikupongeze sana mwanamke shujaa Alicia! Sijui ulipo ,sikufahamu inner circle, nachojua ni kwamba ulihusika kwa asilimia mia kupigania uhai wa Tundu Lissu mumeo!
Wanadamu hatuna desturi ya kuona mchango wa mtu katika Fulani ..tunaushia kuwapongeza manesi na madaktari lakini kusema ukweli ni wewe ndiye ulihusika kipindi mumeo hawezi hata kunyanyua ncha ya kidole chake !
Asante sana Alicia ...nyuma ya afya ya Tundu Lissu picha yako haitaondoka pokea maua Yako popote ulipo.