Napenda tenah kuchukua fursa hii kukupongeza ewe loan officer wa sua,brother sam,kwa kazi kubwa unayofanya ya kujitoa kusaidia matatzo ya wanafunzi,nikiwa mmoja ya wanafunzi uliowasaidia nashukuru sana braza!
sina cha kukulipa bt God will pay 4me!
Kijana umezidi sasa. Hivi bado mko orientation?
Anangojea necta ndo aanze kujifua.