Ni yule aliyetuonyesha website za kujipatia elimu ikiwemo pia Khan Academy, sikumbuki alikuwa ni nani lakini popote ulipo pokea shukrani zangu za dhati, na endelea na moyo huo.
Nimesoma mambo mengi kutoka kwenye video za Khani academy, video za masomo kv hesabu, kemia, biolojia zimenisaidia sana. Asante sana mkuu.