Pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano

Yukwapi

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
518
Reaction score
709
Habari za muda huu watanzania wa mama Samia.

Kwanza Napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru mungu kwa Hali ya Leo kua ya utulivu na amani.

Pili napenda kuwapa pongezi mabondia kwa kuzuia maandamano DSM na kuhakikisha hakuna anae leta uvunjifu wa amani.

Tatu vijana tuwe wazalendo tuepuke kufwata mkumbo na kujiingiza kwenye makundi ya uchochezi yanayoweza sababisha uvunjifu wa amani kwenye Taifa letu

Mwisho Watanzania tunajivunia kua na mabondia wazalendo naninawaomba wasichoke kulipambania Taifa nakumuunga mkono Rais wa JMTπŸ™πŸ™

Nawasilisha
 

View: https://x.com/Eric__Bernard/status/1998379498207936831?s=20
 
Habari za muda huu watanzania wa mama Samia.
πŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸšΆπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈπŸƒπŸΎβ€β™‚οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…