Pongezi nyingi kwa serikali, tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme sasa tunatumia Kuzima mitambo kufanya Matengenezo!

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Bila shaka serikali imefanya jitihada kuhakikisha wananchi wake tunapata huduma ya umeme yenye uhakika!🫣🫣

Tumezika msamiati wa Mgao wa Umeme ila bado tunaendelea kutumia Misamiati ya Kuzima mitambo ili kufanya matengezo!

Miaka ya nyuma alilazimisha mitambo isizimwe ndiyo maana hapakuwa na mgao wa umeme!😂😂😂😂

Hongereni sana.
 
Akili uliyotumia hapa green snakes watajaa kama viroboto.
 
Unyonge wa akili ndio utakaotufanya tuwashukuru wakoloni kwa kutupa uhuru wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…