Mwaka gani waliwaletea wapinzani vurugu??CCM ni kubwa na inao vijana wengi ndani yao ni vijana korofi katika jamii.
lakini hadi sasa wameonesha kiwango kikubwa sana cha ustahimilivu pengine kuliko miaka yote iliyopita.wametulia na wamejikita kwenye hoja za siasa ...kamwe hawajajiingiza kwenye vurugu,kejeli au matusi.
It is a new era of Kazi na Utu!
Sijamuelewa mleta mada alimaanisha walete vurugu kwa wanacham hawa wa Chauma na ACT?!Sasa kwani kuna mshindani yeyote mkuu?
Naona unajilisha upepo!
ππππSijamuelewa mlemavu mada alimaanisha walete vurugu kwa wanacham hawa wa Chauma na ACT?!