Mao Tanzania
JF-Expert Member
- Nov 23, 2018
- 210
- 231
Ujumbe muhimu: Likizo ya Bila malipo huendi na cheo, na ukirudi hukikuti
Idara Kuu ya Utumishi Pongezi kwa kuonesha weledi katika kusimamia taratibu za umma.
Tumeona mmefuata mfano mwema wa Rais wetu kwa kuwapa nafasi wateuliwa wapya baàda ya walikuwa na nafasi hizo kujaa tamaa.
Maajabu makubwa kuona Mkurugenzi wa Wakala, Mamlaka na Taasisi za Serikali, tena nyingine zina bajeti na makusanyo makubwa kuliko Hata halmahauri zetu wakitupilia mbali majukumu waliyopewa na Kwenda kutafutiza vyeo vingine. Walionesha utovu wa nidhamu.
Ilikuwa ni utovu wa nidhamu kwa kiongozi Mkuu wa Utumishi Mh. Dr. John Pombe Magufuli. Waachane wapumzike hata baàda ya kumaliza likizo zao.
Mliopata nafasi hizo eneeni kwenye viti hivo, mnafaa, mnastahili, msaidieni Rais.
Ni hayo tu kwa leo. Njiani kwenda Kagera.