Kodi za wamerekani zimetumika duniani kote na hivyo either kuchangia maendeleo katika baadhi ya nchi au kuchangia machafuko, uharibifu katika nchi zingine.
Sera za mabeberu za kuzifanya nchi zenye viumbe wasiojielewa kuwa tegemezi wa misaada, zimeingeza mmomonyoko wa maadali katika jamii, pamoja na kufutilia mbali ajenda ya kujitegemea. Viumbe hao wanachojua ni kuomba-omba na kuchukua mikopo ya kausha damu.
Trump amevunja-vunja mijimili ya dunia ambayo kwake anaona wanachangia kueneza ushoga, ukandamizaji, unyanyasaji, matumizi mabaya ya pesa, nk.
Ajenda yake ya kuifanya marekani kuwa juu tena (MAGA), inamfanya atafute fursa zozote zile za kubana matumizi na kuinua uwekezaji wa ndani.
Ikiwa marekani wanafikiria kubana matumizi, sisi ni nani tuendelee kujiachia tena kwa pesa ya misaada au mikopo?