Natumai wote mu wazima wa afya njema.
Wakati tunapoelekea mwishoni mwa mwaka 2010, nimeona nitoe pongezi zangu za dhati kwa wanajamii forum wote(mods &members), hakuna ubishi kuwa JF imetufungua macho, kuhusu mambo mengi sana ktk maisha yetu ya kila siku, achalia mbali maswala ya siasa, uchumi na kadhalika, lakini hasa hapa ktk forum yetu ya mapenzi mahusiano na urafiki, mimi binafsi nimejifunza mengi sana kuhusu mahusiano, mapenzi, mambo ya ndoa nk, kupitia michango&threads zenu, hivyo basi ukiachilia mbali swala la kugonga thanks kwa michango yote iliyotolewa nimeona niwashukuru kwa kipande hichi cha ujumbe kitokacho moyoni mwangu katika "EPICENTRE" ya moyo wangu,ASANTENI SANA.
nb; Kukweli jamani kuna watu ukichilia mbali mambo mazuri ya JF, wao wanaiharibu, wanaposti threads za uzalilishaji hasa kwa jinsia ya uzao wa EVA, ukichunguza kwa undani threads hizi ni maneno ya kijiweni , mtu anayabeba anleta jamvini kwa great thinkers, just last week iliwekwa mada hapa ikawaProvoke dada zetu kama ROSE 1980, wakatumia lugha kali sana hadi pakawa tafrani humu, mimi naomba jamani tuwe tunaleta mada CONSTRUCTIVE na sio DESTRUCTIVE, kumbuka ukileta mada ya kudhalilisha wanawake hapa ni sawa unamdhalilisha ,mama yako,bibi yako, dada zako ,mkeo, demu wako nk, NAOMBENI SANA JAMANI FORUM HII IWE SEHEMU YA KUCHOTA MAUJUZI NA MAUFUNDI, MAELIMU, BURUDANI NA UPENDO WA DHATI.
NAWATAKIENI HERI YA KRISMASI NA MWAKA MPYA-NAWAPENDA WOTE, MWAAAAAAAAA 4U ALL