Heshima mbele wana MMU wote!!ebana asubuhi ya leo ndo nahitimu masomo yangu ya chuo kikuu.namshukuru mungu na watanzania wote kwa ujumla kwani kodi zenu ndio zilizonifanya na mie niweze kuipata hii elimu ya juu.pamoja sana wakuu

Hongera sana na karibu uraiani. Natumaini elimu uliyoipata haitaishia kwenye kujibia mitihani na kuandikwa kwenye vyeti tu, bali itaenda mbele zaidi kwenye hatua ya matumizi ya hiyo elimu ktk kulijenga taifa ...
Big up!