Pongezi nyingi zikufikie popote ulipo CAG zanzibar,unaipenda kazi yako,umefanya kazi yako kwa weledi.
Umewasilisha ripoti ambayo kama Rais Mwinyi ataamua kwa dhati kuifanyia kazi tunategemea baraza lote la mawaziri kujiuzulu ili kuonesha kuna uwajibikaji.
Anayejua jina la huyu CAG anijulishe tafadhali