Ponzi Scheme utapeli unaopendwa na Watanzania wengi

Ponzi Scheme utapeli unaopendwa na Watanzania wengi

Yuda Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2023
Posts
778
Reaction score
2,764
Ponzi scheme ni utapeli ambao ulianzia nchi za ughaibuni na ukapigwa marufuku huko lakini cha ajabu ni kwamba utapeli huu umekuwa unapendwa na watanzania wengi licha ya kuwaliza na kuwaacha na maumivu Makali lakini ponzi scheme ni mpenzi wa kudumu kwa watanzania ni mpenzi anae wa danganya na kuwaumiza na kisha kuondoka.

Lakini akirudi tena mpenzi ponzi scheme watanzania wanasahau maumivu yake na kumkumbatia tena nadhani bado hujanielewa ninapo Sema ponzi scheme namaanisha nini au ni nini basi ngoja nikuambie mfano wa ponzi scheme ni KALYINDA, MTFE nk.

Mpaka Naandika Huu Uzi najiuliza ni lini huyu mpenzi Pendwa wa watanzania Aitwae PONZI SCHEME wataachana nae maana Licha Ya kuwaachia vilio lakini bado wanampenda MAANA ALIKUJA MPENZI KALYINDA AKAONDA AKAJA MPENZI MTFE AKAANDOKA JE AJAYE SAA HIVI NI YUPI.

Screenshot_2023-10-05-10-17-58-45.jpg
 
Wachawaendelee kupigwa, ukipenda vitu rahisi lazima upigwe na kitu kizito
 
Back
Top Bottom