Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Hayuko peke yake.....kuna watu wazima wazito na wakubwa kweli kweli hawataki hata kupanda Dear bomba kwenda ng'ambo kwa sabb ya mambo ya u know u know hayoMateso bila chuki kwa Alikiba
Uo sasa uchochezi ......Hayuko peke yake.....kuna watu wazima wazito na wakubwa kweli kweli hawataki hata kupanda Dear bomba kwenda ng'ambo kwa sabb ya mambo ya u know u know hayo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeenjoy this
Sio utani. Imagine watu wanatuchukuliaje? Alilazimishwa?ha ha ha ha ha jaman dah nmecheka sana mods embu muitoe hii clip jaman dah kwel hzi lugha zimekuja na majahaz its humiliating
Wewe,huyo humfikii. Hivi hampekuwipekuwi youtube videos? Hebu pitia uone.Je pombe ya chato???
Hahahahaha! Kha!They improvement of.......you know.....business of the music......is the business right now so.....enh?..so many talented......young people there?...you know.....Young generation I mean??.....enh ah!?...everyone want to be like ali kiba.....you know!?.....uh..just like that....so....yah enh....you know...yah...thank god for that....becouse.....umh.....I've courage so many yan!?....young generation as in yah....young people??....because sometimes d'sing like me!?...enh....i....i fill good.....eyh..eeyh....at least creat....you know!?.....so yah...yah....so th@$# we have good life.....eh...we have....eeh..its different like before??....you know...umh..I can say am a legend from....tanzania.....I know how situation was before....before we started to sing??
Sio kukosea sijui badala ya hivi ingekuwa vile, alichokiongea hakikuwa na maana yoyote.Umejitahidi ...enhe haya hebu kosoa sasa kuwa hapa badala ya kusema hivi yeye kakosea kasema hivi...Japo kuna pengine nadhania ni makosa yako ya uandishi, maana kasema i've encouraged wewe umeandika i've courage....,anyways, haya toa makosa sasa
Sio utani. Imagine watu wanatuchukuliaje? Alilazimishwa?
Kanikera sana jamaa.acha tu mkuu yaan daah
Kashakosea akubal tu ajifunze kama vp aongee kiswahil tuKanikera sana jamaa.
Amekuzdi wwe so unaona poa tu,wenzio wanaoujua wanaona bado na hasa ukimlinganisha yeye na bwana yulembona kaongea poa tu, mnataka aongeeje sasa