Mustaphagentleman
JF-Expert Member
- Jun 22, 2016
- 3,953
- 3,022
Daah mbona kawaida sana wewe BOYA, mbona mataifa mengi tu ya ULAYA,Asia na Afrika ni jambo la kawaida tu, lugha hizi hatukuzaliwa nazo tunajifunza,sasa nakushaangaa wewe Sijui umeona jambo gani la ajabu.If you don't know english you better use your mother tongue language to speak in public Ali. Shame on you man umejaa misifa tu ona sasa unavyojiaibisha mpaka wenzako wanakucheka.
Sawa english siyo lugha yetu ila si kwa ngeli hiyo ya you know mpaka kiti mzee, inshort umeboa sana!
True... yani anajiona kama R.Kelly vile!Natamani kuifuta ila nashindwa ni aibu ,kwanza jamaa anajiona fundi wa music kumbe mbjrura tu
Halafu anavyopaisha hiyo mikono sasa!Kanikera sana jamaa.
Inaboa sana aisee. I dont hold any grudges against him nor do I happen to be a hater when it comes to his success as a musician,lakini mambo ya hovyo kama haya hunifanya nimwone hastahili hadhi anayopewa.Halafu anavyopaisha hiyo mikono sasa!
Yaani hadi anayemhoji kaamua kusepa maana hamuelewi kabisa
Shame on you Kibakuli kwa kutudhalilisha watanzania ( si ujifunze!)
rodman no, mondi natisha kaka yuko vizuriMondi na kiba wote mle mle, kama wanaona hawataelewa maswali wawe na wakalimani tu, wataeleweka mboma mameneja wao ngeli inapanda? Na hawa mameneja si wangekuwa wanawashauri na kuwasaidia badala ya kukaa kwa audiance
ttz kiba anajikuta ni almas sana na mkubwa kimuzik kwa kuingia kwa Ras simba shiling ngap au akae na Jojo vzr mana kale kabint ni Degree holder ya mliman mpige brush aisee aibu saana you know zinakuwa nyingMondi na kiba wote mle mle, kama wanaona hawataelewa maswali wawe na wakalimani tu, wataeleweka mboma mameneja wao ngeli inapanda? Na hawa mameneja si wangekuwa wanawashauri na kuwasaidia badala ya kukaa kwa audiance
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wa2 mna maneno!!!!Kwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .