Poor Ali Kiba, kama hujui kiingereza ni vema kuongea lugha yako tu

Aendelee tu kujiamini anapoongea kingereza mbele ya kadamnasi ya watu mashuhuri. Baadae atakuwa na confidence ya kutosha, mdogo mdogo ndio mwendo hata mbuyu ulianza kama mchicha.
 
Kwanini asinge ongea kiswahili kama baraka au angeenda na seven aokoe jahazi, ila sio mbaya mwanzo mgumu au Salam sk kamwibia dictionary .
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] salama sk c mtu wa mchezo mchezo
 
Mondi na kiba wote mle mle, kama wanaona hawataelewa maswali wawe na wakalimani tu, wataeleweka mboma mameneja wao ngeli inapanda? Na hawa mameneja si wangekuwa wanawashauri na kuwasaidia badala ya kukaa kwa audiance
 
Kwenye lugha ndo wanakuwa sawa ila Kwenye mengine king ndo mkali?
 
Mondi na kiba wote mle mle, kama wanaona hawataelewa maswali wawe na wakalimani tu, wataeleweka mboma mameneja wao ngeli inapanda? Na hawa mameneja si wangekuwa wanawashauri na kuwasaidia badala ya kukaa kwa audiance
sio kweli cheki mtv awards ya mwaka jana u tube
 
Kazingua kabisaa kutembea Kote kumbe hana lolote aibu tupu aludi shule unae msifia pia hujui madudu gan kafanya mbaka wanamcheka.what shame situation! Ndo maana hawawezagi kuimba ata a vesi ya kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…