Poor argentina... Poor maradona

TIMING

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Posts
28,186
Reaction score
15,549
Wandugu,

Nimeamka usiku wa manane kuangalia my favourate team playing Paraguay, hadi Dk. ya 73 Argentina wako nyuma kwa bao moja.

Sioni team formation, kila mtu anacheza kivyake, na hata goalie wa Paraguay hajafanya save for the past 15 minutes

Maradona has no skills no style to manager this house of talents!!

Sad
 
Mechi imeisha muda si mrefu, jamaa wamechezea kichapo 1-0. Duh Veron kala kadi nyekundu.
 
jamaa maradona wamfukuze yule ,wakiweza kuhold nafasi ya tano wataweza kwenda kupitia kwenye play offs labda manake ngoma yao ngumu sana.
 
Argentina wa tano, washukuru Colombia wamepigwa bao maana ata hiyo nafasi ya tano wangeikosa. Brazil na Chile muda huu.
 
jamaa maradona wamfukuze yule ,wakiweza kuhold nafasi ya tano wataweza kwenda kupitia kwenye play offs labda manake ngoma yao ngumu sana.

Maradona is a motivator and not a coach.... he has to go!!! hata selection ya timu yake haieleweki; sijaona any use ya wale lethal strikers wake
 
Argentina wa tano, washukuru Colombia wamepigwa bao maana ata hiyo nafasi ya tano wangeikosa. Brazil na Chile muda huu.

Brazil keshamla mtu bao mbili tayari... they are the greatest
 
Mi nashangaa sijui kwa nini hao AFA wanamwachia wakitegemea labda atajiuzulu,ilitakiwa atimuliwe .Maradona ndio kasabisha hadi Riqulme kagoma kuchezea Argentina
Pamoja na kuwa na wachezaji mahiri kama Messi,Aguero,Milito,Zaneti,Mascherano,Tevez lakini jamaa kashindwa kuwaunganisha
 
Duh hao wabrazil wamempa Chile dozi, alafu mechi za jana naona kama zilikuwa na kadi nyekundu nyingi sana.
 
Ooh My Argentina, Ooh El Pibo unatupeleka wapi unataka 2010 nisiangalie kabisa World Cup, Mrejeshe Football Geneus Riquelme
 
Ooh My Argentina, Ooh El Pibo unatupeleka wapi unataka 2010 nisiangalie kabisa World Cup, Mrejeshe Football Geneus Riquelme

Unajua Maradona amekaa zaidi ki-muchacho group kuliko kufundisha soka... Hakuna kitu pale maana sikuona moves ambazo zilikuwa stable, kila wakati palikuwa na loose balls nyingi na final balls karibia zote hazikuweza hata kuingia ndani ya 18

He needs to continue support the team kama shabiki nambari wani
 
Maradona is a motivator and not a coach.... he has to go!!! hata selection ya timu yake haieleweki; sijaona any use ya wale lethal strikers wake
Yes., i said it right from the genesis, kuwa selection ya Maradona kuwa kocha ni more 'emotional' than 'rational'. Kimsingi it has been good for him na bad for the team...'coz at the end of the day amekuwa busy akakosa mda wa kufanya utumbo wake nje ya uwanja, ila wakim-sack tu!, aisee the next week atakutwa kajidunga kupitriza.
 
Wakati mwingine Argentina wanashangaza sana, Maradona ni 'TEJA' tena muda wote huwa amelewa, kisha wanamfanya kocha wa Taifa!

Naona safari hii fainali za 2010 wasahau, labada miaka ijayo watapata kocha wa maana.
 
Timu ilikuwa ishalosti. Ndio maana wakamwita Diego awape hamasa. Riquelme akaleta kiburi chake akasepa. Sasa ngoma ni nzito. Ila piga ua Sauzi watakwenda na El Pibo!
 
Huyu kocha sasa mfanye mumtimue,

Timu ilikuwa ishalosti. Ndio maana wakamwita Diego awape hamasa. Riquelme akaleta kiburi chake akasepa. Sasa ngoma ni nzito. Ila piga ua Sauzi watakwenda na El Pibo!

Ila El Pibo kama atachanga karata zake vizuri basi Sauzi Atakuwepo, nikiangalia mechi zilizobakia siyo nzuri sana kwa Ecuador coz atamkaribisha Nyumbani Urugay, who ever atakayeshinda itakuwa ni Advantage kwa Argentina Provided that wamfunge Peru. Ecuador Akifungwa na Colombia na Argentina akamfunga Peru ina maana Argentina atarudi nafasi ya nne, Ecuador akishinda na Argentina akishinda inaama Argentina watakuwa wanconferm nafasi ya tano kwa Play off na Mshindi wa nne wa CONCACAF.

Viva Argentina
 
Duh! El Pibo El Diez atatoka Leo kwa Peru? Wishing him all the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…