Poor argentina... Poor maradona

daaaah it was along way for them.but well done
 
I am so happy for Diego Armando Maradona and his true successor, Lionel Andres Messi!
 
Maradona Belly sliding after Pallemo scored the winner against PERU

Win seals Argentina qualification

Maradona's side got the result they needed to reach South Africa

Martin Palermo celebrates his dramatic last-gasp winner for Argentina Martin Palermo celebrates his dramatic last-gasp winner for Argentina

Sasa kaeni chonjo World cup ni ya Argentina mwaka huu
 
Hatimae Argentina wameweza, tutaenjoy World cup ijayo!
 
lakini mpira gani nyinyi mnaangalia mbona argentina kisha pita hapa!!!!

Mpira ambao Argies wameshinda kamoja.... Lakini kwa tabu!!! kwani wamechelewa kweli kupata bao
 
Hehehe Argentina zao round ya kwanza wakijitahidi sana robo fainali....!!

Baba kuna miezi nane hapa katikati!!!! I think they need to have a new technical bench na consultative team ya kumanage team akiwemo Carlos Bilado!!
 
Baba kuna miezi nane hapa katikati!!!! I think they need to have a new technical bench na consultative team ya kumanage team akiwemo Carlos Bilado!!

Kuna mawili i.Maradona awekwe benchi ii. wamwache ila wapangue benchi la ufundi na Maradona abadilishe aina ya ufundishaji, haya mambo ya kutegemea miujiza ya mwenyezi Mungu na vipaji binafsi yatamlostisha.
 
Lakini hatimaye wamebahatika kwenda South Africa
 
Kuna mawili i.Maradona awekwe benchi ii. wamwache ila wapangue benchi la ufundi na Maradona abadilishe aina ya ufundishaji, haya mambo ya kutegemea miujiza ya mwenyezi Mungu na vipaji binafsi yatamlostisha.

Mazee hiyo option ya kwanza ndiyo yenyewe... Yule jamaa ni kama Nyerere kwenye siasa za bongo!! Utaanzaje kumuacha???

Inabidi kubomoa benci lote na kukaa na wachezaji... sioni kama wana hamu ya kucheza pamoja aisee

But its all good, they have crossed one river, now the real deal starts....
 
poor MTM!.....................poor predictions
 
Hawajamaa mi siwakubali ingawa watafuzu lakini wanaenda kutalii tuu,si bora ingeenda Tanzania ili baadhi ya wachezaji wakazamie huko wakauze matunda!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…