Poor me!

it depends with what?

Vitu kama hivi mtu falls in love with the idea of how huyo mtu yupo.... Which in most cases wakionana yaweza kua bonge la dissapointment...

Wapi sweetlady jamani sangara asijejitia kitanzi.

Husny hapo ndio nimeshindwa muelewa Sangara... Unakumbuka siku ile ya muziki alimwaga mwanyanga wazi kabisa kwa Sweetlady??
 
we nenda mliwaze mwenzio kule kny kusasambua hapa tuachie sangara wetu...

hahahaha! Mi acha nimliwaze sangara bwana hadi swtlady arudi. Hujambo we mdada? Umeadimika kama ushuzi wa kuku.
 
Husny hapo ndio nimeshindwa muelewa Sangara... Unakumbuka siku ile ya muziki alimwaga mwanyanga wazi kabisa kwa Sweetlady??

siku ile bado kidogo nimwite shehe afungishe ndoa ya mkeka aisee maana nilimuona swtlady anarembua kuonesha kukubali.
 
hahahaha! Mi acha nimliwaze sangara bwana hadi swtlady arudi. Hujambo we mdada? Umeadimika kama ushuzi wa kuku.

sijambo myd,kuadimika kwangu nilikuwa namuwekea dhamana kloro...mzima lkn?nilikumiss itabidi nikung'ate sikio..
 
siku ile bado kidogo nimwite shehe afungishe ndoa ya mkeka aisee maana nilimuona swtlady anarembua kuonesha kukubali.

Mie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!
 
sijambo myd,kuadimika kwangu nilikuwa namuwekea dhamana kloro...mzima lkn?nilikumiss itabidi nikung'ate sikio..

unajua nilikuwa sijasoma thread ya kusasambua. Dah, kipaseli bwana kina balaa. Nishategesha misikio yangu nasubiri kung'atwa.
 
Mie waliniambia tayari.... Imagine Sweetlady is my second Best Wifi..... Hii habari ya Sangara hii...... Dah!

inawezekana sangara anataka amtambulishe swtlady rasmi. Ngoja tuone hii movie ya kihindi itaishaje.
 
Vitu kama hivi mtu falls in love with the idea of how huyo mtu yupo.... Which in most cases wakionana yaweza kua bonge la dissapointment...

Basi na mimi nimekufa juu yako Ashadii,mweh!
 
unajua nilikuwa sijasoma thread ya kusasambua. Dah, kipaseli bwana kina balaa. Nishategesha misikio yangu nasubiri kung'atwa.

mwenzangu kipasel ni kikali embu enda ukamtulize kidogo..lol
 
hilo nalo neno lkn nakaonea huruma ujue, au tumpe sweetlady maana sangara kapata mwingine..

halafu kweli eeh, ngoja tumpe sweetlady maana huyu sangara hatumuelewi elewi.
 
@wiselady tusepe bwana naona stelingi sangara na swtlady wametukimbia.
 
Loool....

Sangara hapa you are Wrong.... I don't know her.... (for the one I know tayari ushamwambia....)

Cheki PM basi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…