Ndugu zangu,
Napenda kumshukuru Mungu kwa kutupa uhai katika siku ya leo. Uongozi wa CHADEMA, katika kitengo cha media communication kimeprove failure katika jambo hili muhimu la kichama, na hii inanipa maswali mengi ya kujiuliza. Mojawapo ya maswali ni kama yafuatayo:
Maybe jamaa saizi ana-buy time (I think you know whom I'm referring to), baadaye ataingia na gia ya kukikopesha chama tena, ambazo ni hela zile zile alizozikwapua for the past years ndani ya chama. Myinka et al, be careful saizi kuhusu kukopeshwa na mwenyekiti wenu (a debt trap). Waitara ashafichua uovu huo (deni la uchaguzi mkuu kwa ajili ya kampeni), use it positively.
Namalizia na kusema, uongozi wa cdm umefeli sana kwenye media coverage ya mchakato, msizilaumu media hata kwa namna yoyote ile.
Asante sana,
Nawasilisha
Kejuu

- Je, hawa jamaa hawajui kuwa na high media coverage ni sehemu mojawapo ya kampeni za awali?
- Kama wanajua, tatizo linaweza kuwa hawana pesa ya kufinance jambo kubwa lakichama kama hili?
- Au inawezekana kuwa tayari mwenyekiti anasave kwa ajili ya kuwapiga tena, kwa njia ya kuwakopesha ili waingie kwenye mzigo wa deni lisilolipika tena (debt trap)?