Poor performance by Wasafi in Nairobi... Twitter reactin

Ndo maana wengine tunaendaga kuangalia bendi tu mana hizo ndo live performance zenyewe ila haya mambo ya kutoa pesa na bado unaenda huko mnachezeshewa ka cd huku msanii anarukaruka tu na kupiga kelele bora nikae home tu nimsikilize kwenye karedio
 
Na msirudie tena kusema mountain Kilimanjaro ipo kwenu mtatuudhi mwakani tuwape show mbovu zaidi ya hiyo [emoji23] [emoji23]
 
Naona team Kibakuli wamejitoa ufahamu humu. Wasafi bado wamebana no way pakutokea [emoji23][emoji23]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni Tanzanian music without Kenya yani we call the shots.
 
Tatizo la wasafi ni dencers, hawajitumi, na hao akina diamond kazi yao kushika kende tu jukwaani, pengo la richmavoko limeanza kuonekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…