Pope Francis ametimiza miaka 10 madarakani

Pope Francis ametimiza miaka 10 madarakani

Raphael Thedomiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2019
Posts
442
Reaction score
729
Habari zenu wana-jf wenzangu! Tumsifu Yesu Kristu!

Hakuna kizuri kisichokuwa na dosari na vilevile hakuna kibaya kisichokuwa na uzuri wowote.

Sasa je ni yapi mazuri na mabaya na changamoto katika uongozi wa papa Francis!

Heshima zake zimezingatiwa.

Ni muda muafaka wakachagua Papa mwingine, kwani miaka 10 sio mchezo na anazeeka.

Demokrasia ichukue mkondo. Yaani haya makanisa yanavyotumiwa kusambaza na kuchagiza Demokrasia, yawe kama kioo, yenyewe, yawe mfano....kama CHADEMA inavotakiwa kuwa mfano wa maana ya Demokrasia.

Amani ikutandae.
 
Milele amina, Mungu amzidishie nguvu na uwezo wa kuendelea kuliongoza kanisa lake, tuzibe masikio tusisikilize tuhuma na uzushi zinazotolewa na ecclesiastical movements zenye inferiority complex kwetu, Amina
 
Habari zenu wana-jf wenzangu! Tumsifu Yesu Kristu!

Hakuna kizuri kisichokuwa na dosari na vilevile hakuna kibaya kisichokuwa na uzuri wowote.

Sasa je ni yapi mazuri na mabaya na changamoto katika uongozi wa papa Francis!
agenda ya wazungu ni moja, walishaasi dini na miongozo yake , wana mambo yao binafsi wanasukuma kupitia dini
 
Back
Top Bottom