Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
agenda ya wazungu ni moja, walishaasi dini na miongozo yake , wana mambo yao binafsi wanasukuma kupitia diniHabari zenu wana-jf wenzangu! Tumsifu Yesu Kristu!
Hakuna kizuri kisichokuwa na dosari na vilevile hakuna kibaya kisichokuwa na uzuri wowote.
Sasa je ni yapi mazuri na mabaya na changamoto katika uongozi wa papa Francis!
Kuna ukweli fulani kabisa, hapaagenda ya wazungu ni moja, walishaasi dini na miongozo yake , wana mambo yao binafsi wanasukuma kupitia dini