Pope Leo XIV atoa wito kwa vyombo vya habari kutojitenga na ukweli

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Wakuu natamani vyombo vyetu vya habari ujumbe huu uwafikia pia.

Kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Leo XIV kupitia ukurasa wake wa X amevitaka vyombo vya habari haviwezi na havipaswi kujitenga na ukweli.

===

"The media cannot and must not separate itself from the destiny of truth. Transparency of sources and ownership, accountability, quality, clarity, and objectivity are the keys to truly opening citizens' rights for all peoples." - Pope Leo XIV

Kwa tafsiri isiyo rasmi

"Vyombo vya habari haviwezi wala havipaswi kujitenga na hatima ya ukweli. Uwazi wa vyanzo na umiliki, uwajibikaji, ubora, uwazi, na uhalisia (au objectivity) ni funguo za kufungua kwa kweli haki za wananchi kwa watu wote."

 
Kama vyombo vya tanzania wasikie hiyo, wasingejitenga na ukweli wakati wa tukio lile la ghasia, wangeripoti tu wala sio dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…