Ni muda sasa umepita hatujamsikia je amepitiwa na wimbi la utekaji uliokithiri maana alikua na utaratibu wa kila mwaka kuchagua mtaa au wilaya zilizompendeza na kuwasalimu wanaume tu usiku wa manane na shart lake uende hadharan ukasifu ukarimu wake usiku wa jana la sivyo atakua mgen wako kila usiku unapopitiwa na usingiz
Miaka imepita hajulikan alipo yupo hai yupo salamaaa kweli
Sijawahi kuamini hii, nilikuwa nalala ndani kama kawaida na hakijawahi tokea kitu..
Lakini pia katika maisha yangu sijawahi kukutana na mtu amekiri katafunwa na popobawa, wakati sharti lake ililuwa lazima utangaze
Hata kwetu kuna wilaya moja, jamaa alikuwa akifanya mchezo huu kwa wake za walim, waliamka ahsubuh imerowa tiar, na wanamtaa.
Walikuja kumgundua akatoroka. Ila walimfukuza cjui akatokomea wap