Popobawa karudi

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,804
Mabibi na mabwana
Mtakumbuka enzi za popobawa kushika hatamu ambavyo aliwashikisha adabu wachungaji, waumini, mashehe, wanasiasa, na hata wageni walio itembelea Tanzania. Hakika nchi haikutawaliwa kabisa. Kila usiku ulivoingia kila mwananchi aliingia kulala bila ya kuwa na matumaini ya kuamka salama au akiwa amedhurika.
Sasa wakuu huyu wa sasa ameshika hatamu na anamshikisha adabu kila mwananchi isipokuwa wateule wacheche mbona tumekuwa hatushituki. Kila ukienda kulala huoni kesho yako kama i salama au la.
Labda tutegemee mabadiliko mana mwaka pendwa unakaribia.
Andaeni vichinjio.
 
Hahahaa too late! tume bado iko chini ya mamlaka, katiba bado ni ya enzi za akina warioba na akina kawawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivyo vichinjio vyenu mtajichinja wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…