Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante sana, problem solved.Angalia Jua Linapochomoza (Mashariki) Linapozama (Magaharibi)
campass sina. Lakini google na mdau wamenisaidia. Problem solvedTumia Compass
Naomba kujua nitatambuaje dira za dunia ie nikisimama mahali popote nitajuaje kuwa West ni huku, East North and South.
asante kamanda! Campass napata wapi? zinauzwa wapi?Njia thabiti kabisa ni kuwa na compass, GPS na kuwa na ufahamu wa ramani ya dunia kama globe.
Compass ina sumaku ndani ambayo hujielekeza ilipo north pole kila wakati kutokea ulipo hivyo kwa ujumla kuakisi kote kwingine.
GPS itakupa point kamili ulipo kwenye uso wa dunia.
Mawili hayo pamoja na ufahamu wa ulipo kwenye globe yatakuwezesha kwa kikamilifu kujua directions zako (N, E, S, W) pasipokuwa na chembe ya shaka.
Angalia Jua Linapochomoza (Mashariki) Linapozama (Magaharibi),Hivyo Tumia Kivuli Chako Huku Ukiwa Umetanua Mikono,Mkono Wa Kulia Jua Linapochomoza Paite Mashariki,Mkono wa Kushoto Jua Linapozama Paite Magharibi,Kichwani Paite Kaskazini na Miguuni Paite Kusini.
(Yote Hayo Unayafanya Kupitia Kivuli Chako)
Majibu ya mdau ni rahisi kwa mazingira rahisi(ya kawaida). Nimemwelewa sana!Mkuu ikiwa usiku, kukiwa na mawingu?
Ukiwa kwenye northern au southern hemisphere je?
asante kamanda! Campass napata wapi? zinauzwa wapi?
Utatumia Majengo ya Msikiti Kutizama Jengo Limejengwa Uelekeo Gani,Kwa Msikiti Kibla Huelekea Mashariki,Hivyo Pande Zilizobakia Utazipata kwa Utaratibu Nilioueleza Hapo Mwanzo.Mkuu ikiwa usiku, kukiwa na mawingu?
Ukiwa kwenye northern au southern hemisphere je?
Utatumia Majengo ya Msikiti Kutizama Jengo Limejengwa Uelekeo Gani,Kwa Msikiti Kibla Huelekea Mashariki,Hivyo Pande Zilizobakia Utazipata kwa Utaratibu Nilioueleza Hapo Mwanzo.
Sijawahi Fika Sehemu Tajwa,Sina Tafiti ya Zaidi Kuhusu Pande Uelekeo Ulipo,Ila Njia za Kiasili Kujua Pande Kuu Nne Ni Hizo Mbili Na Ya Mwisho ya Tatu Ni Kwa Kutumia Makaburi (Ya Jumuia) Mara Nyingi Anapozikwa Mtu Uelekeo Ni Kaskazini,Aghalabu Huelekezwa Mashariki.
Asante.
PamojaKibla ni uelekeo wa (Kaaba) Mecca ambako waislam huelekea wakiswali na hivyo urlekeo wa misikiti.
Uelekeo huo si lazima uwe Kaskazini kutegemea na mtu ulipo kwenye uso wa dunia.
Kutokea Tanzania ni Kaskazini ndiyo maana nikasema kibongo bongo ni uelekeo sahihi wa iliko Kaskazini.
Kwa vile mleta mada aliridhika na litokeapo jua - scope imeeleweka mkuu.
Nakazia ✍️✍️✍️Njia thabiti kabisa ni kuwa na compass, GPS na kuwa na ufahamu wa ramani ya dunia kama globe.
Compass ina sumaku ndani ambayo hujielekeza ilipo north pole kila wakati kutokea ulipo hivyo kwa ujumla kuakisi kote kwingine.
GPS itakupa point kamili ulipo kwenye uso wa dunia.
Mawili hayo pamoja na ufahamu wa ulipo kwenye globe yatakuwezesha kwa kikamilifu kujua directions zako (N, E, S, W) pasipokuwa na chembe ya shaka.
Mtu katoka Mwanza huko.... hajawahi kufika DAR.... Kashuka DAR usiku... anajuaje Jua linavochomoza DAR? Usiku anapata wapi Kivuli cha Jua?Angalia Jua Linapochomoza (Mashariki) Linapozama (Magaharibi), Hivyo Tumia Kivuli Chako Huku Ukiwa Umetanua Mikono, Mkono Wa Kulia Jua Linapochomoza Paite Mashariki, Mkono wa Kushoto Jua Linapozama Paite Magharibi, Kichwani Paite Kaskazini na Miguuni Paite Kusini.
(Yote Hayo Unayafanya Kupitia Kivuli Chako)
Hata mimi huwa inanisumbua sanaaNaomba kujua nitatambuaje dira za dunia ie nikisimama mahali popote nitajuaje kuwa West ni huku, East North and South.
Huyu Atakuwa Mshamba Kabisa Nitamwacha Ashangae Mataa 😂😂 Joke...........Mtu katoka Mwanza huko.... hajawahi kufika DAR.... Kashuka DAR usiku... anajuaje Jua linavochomoza DAR? Usiku anapata wapi Kivuli cha Jua?
Msikiti wa wapi kibla imeelekea mashariki?Utatumia Majengo ya Msikiti Kutizama Jengo Limejengwa Uelekeo Gani,Kwa Msikiti Kibla Huelekea Mashariki,Hivyo Pande Zilizobakia Utazipata kwa Utaratibu Nilioueleza Hapo Mwanzo.