Yule member uliyemtolea mfano 'Birigita' naye umesababisha amepigwa ban.Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi karibuni.
Post iliyompatia ban Quinine ni hii.
Pole kwa kupigwa ban ingawa ban yenyewe in utata, ni wangapi wamemuita Mh. Wassira kwa jina la 'SOKWE' kwa nini wewe uwe victm peke yako, tuta-miss michango yako lakini inshallah utakuwa nasi hivi karibuni.
Post iliyompatia ban Quinine ni hii.
Sikuwa na lengo la kumsababishia ban ila nilikuwa naonyesha similarity ya matukio alichosema Quinine na Birigita kilikuwa kile kile hata hivyo kuna wengi tu waliosema na wanaendelea kusema hivyo.Yule member uliyemtolea mfano 'Birigita' naye umesababisha amepigwa ban.
huwezi ukamuita binaadamu mwenzio ni sokwe.. si kwa kiongozi tu... ban alijatakia akirudi atakuwaw na heshima kidogo
Kuna watu walishawahi kuitwa nyoka wa midimu tena bungeni na juzi Kikwete amesema inabidi wajivue gamba kama nyoka ina maana nyoka ana sura nzuri kuliko sokwe najiuliza.Lakini kihistoria binadamu wote asili yetu si sokwe? Kusa lake labda ni kumfananisha or kum'identify sokwe fulan direct teh! Binadam hatutaki unyama wetu wa kiasilia!
Yule member uliyemtolea mfano 'Birigita' naye umesababisha amepigwa ban.
Ni kweli alichofanya Quinine si kitendo kizuri, lengo langu lilikuwa si kutetea maovu ni kuwakumbusha MODS kutenda haki na kuwa fair, vipi wale wananomwita Dr. Slaa shetani au ibilisi are they doing right thing? kwanini hawapewi ban, nafikiri umenielewa siko kwa Quinine niko kwa MODS zaidi, kwa sababu wana deal na community (people) (JF members) they should be seen doing rights and fairness to all members. MODS are human being they are not robots when they do mistake we have all the rights to correct them tukiwaacha wata assume wako right kila wakati.