Habarini wakuu?
Kitaaluma ni automobile engineer, nimekuja kwenu kutatua shida zinazoikabili jamii hususan katika idara ya usafiri, iwe wa binafsi ama wa uma.
Mimi ni mtaalamu katika nyanja hiyo ya kulihudumia gari lako popote pale ulipo kwa old model(full mechanical system) na new model(full electronic system).
Kwa kulikagua gari lako kwa vifaa maalum kama vile OBD SCANNER TOOL na kubaini tatizo la gari yako kwa zile gari za ELECTRONIC FUEL INJECTION (EFI) ambao mfumo wake wa uendeshaji Wa injini hutegemea Computer; POWERTRAIN CONTROL MODULE (PCM). au full electronic system. Kwa petrol na diesel.
Ondoa tatizo la gari yako kuwa taa nyekundu ndani dashboard ( checking engine light)
Hudumu zingine ninazo toa pia kama
1) power window problems
2) ant-braking system (ABS)
3)car light circuits kama;
- turn right signal & harzad lights
- headlight, low and high beam
- battery parasitic drain(BATTERY DRAIN)
- starting system
- charging system
- installation of kill switch for car security if one needed.
Pia natoa ushauri na elimu juu ya chombo chako cha usafiri buree. Na pia natoa huduma kwa bei rahisi na ubora wa hali ya juu kulingana kitabu cha matengenezo( MANUAL BOOK)
Huduma hii ni kwa DAR ES SALAAM tu.
Kwa taarifa zaidi, waweza nipata
+225(0)743668321
- for WhatsApp.
- calling
- message
Pia waweza nipata hapa hapa kwa maswali zaidi
Nashukuru na ahsanteni