Popular science Grand awards winners!

Popular science Grand awards winners!

Koba

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Posts
6,131
Reaction score
1,354
Link ya chini hizo ndio Grandawards kutoka popular science,mambo yanaenda yakiongezeka hopefully babu yangu kule kijijini internet na umeme soon vitakuwa sio luxury tena....Angalia vizuri hao vijana wa www.meraki.com na hao jamaa wa nanosolar,seems bongo tunaweza kutumia hizo technology mbili kutupunguzia mizigo ya bills na kutuongezea sophistication katika maisha yetu ya kila siku

http://www.popsci.com/popsci/flat/bown/2007/grand_awards.html
 
Back
Top Bottom