Kuna huyu jamaa 'Mafwele' amepata headlines sana zaidi ya mwaka ila hadi Leo anadunda.Ukiona kitu kinaanza kuongelewa sana ujue mwisho wake umekaribia
Muda utaamua hili, kibinadamu amejihakikishia yupo salama, ila ukweli hayupo salamaKuna huyu jamaa 'Mafwele' amepata headlines sana zaidi ya mwaka ila hadi Leo anadunda.
Haya mambo hayaendi na Imani Wala matamko ya kulaani pekee ila kuchukua hatua.
Lile ni pori kweli kweli, yaani ikitokea umefungwa kitambaa, halafu ghafra ukashushiwa pale bila kujua uko wapi unaweza kudhani umetupwa pori la masumbwe.Siyo pori la mbweni, bali ni TISS training centre ndo kubaya
Kuna huyu jamaa 'Mafwele' amepata headlines sana zaidi ya mwaka ila hadi Leo anadunda.
Haya mambo hayaendi na Imani Wala matamko ya kulaani pekee ila kuchukua hatua.
Asante sana kwa masahihishoHiyo namba 6 ungerekebisha kwa ajili ya kumbukumbu ya baadaye. Aliyetupwa kwenye msitu wa Mabwepande enzi za utawala wa JK alikuwa ni Dr. Steven Ulimboka, aliyekuwa kiongozi wa chama cha Madaktari nchini (MAT), aliyeongoza mgomo wa madaktari.
Daudi Mwangosi yeye alikuwa ni mwandishi wa habari aliyeuwawa na polisi mchana kweupe eneo la Nyololo kule Mufindi Iringa, wakati wa ufunguzi wa tawi la wakereketwa wa CHADEMA.
johnthebaptist tangu kutoweka pole pole huyu jamaa sijui kama aliwahi kuingia jukwaani?Lile ni pori kweli kweli, yaani ikitokea umefungwa kitambaa, halafu ghafra ukashushiwa pale bila kujua uko wapi unaweza kudhani umetupwa pori la masumbwe.
Halafu nyumba zao zipo ndani kabisa katikati ya pori.
Huko hata wakikubinya, hakuna mtu atajua.
Huko nadhani watu sampali ya Polepole ndio hupelekwa huko.
Kila siku wanampa wali wa nazi, sie huku tunahangaika kumtafuta