Porn Causes Brain Damage



Ambacho nimewahi kusoma from a scientific research publication ni kuwa Kuangalia sana Pornos kunahatarisha mahusiano ya ndoa. Hii inatokea pale ambapo mwanandoa anatamani afanyiwe na mwenzake, au performance ya tendo la ndoa iwe kama alivyoona kwenye porno, na wakati huo mwenza wake hawezi kuperform kama vile. Mwanandoa huyu anayetazama porno hujiwa na mawazo ya kujaribu kwingine kwa matumaini kuwa mpenzi wa nje ataweza. Matokeo ni kuanza kwa kupoteza hamu na mke/mme na mapenzi kupungua, na kuhamia kwingine.
 

Wala hujalazimishwa, ni wewe tu kuchagua kama unavyosema,
Lakini pia tujue Mshahara wa dhambi ni mauti!!!!!!!!!!
 

Asante kwa hekma.

Be blessed
 
Reactions: LD
Barikiwa mkuu kwa huduma yako
 

Thank you Sir
 

ndiyo brain damage hiyo. everything begins in the brain!!
 
There is no right or wrong just consequences. Your thoughts create your intentions. Your intentions create your reality. Simple, isn't it ? Remember, damaged too the right hemisphere of the brain can lead to cognitive-communication problems, such as impaired memory, attention problems and poor reasoning. Thanks MaxShimba.
 
Another common problem for men addicted to porn is that they become walking time bombs that can be set off at any time and without warning. In truth, no woman or child is entirely safe around a pornoholic.

Ndio ile kiutu ya mfadhaiko wa akili!!
 
Before the internet was ubiquitous in every aspect of our lives, porn addiction was for the creepy lifelong bachelor or the lonely guy with mommy issues. However, now that we depend on the World Wide Web for much of our information and entertainment, the condition is seeping into parts of the population previously unaffected.

Read more: Dealing With Porn Addiction - AskMen
 

Thanks mkuu
 
just coming from the jukwaa la wakubwa... i feel guilty :A S embarassed:
 
njia bora ya kujadili jambo ni kujua faida na hasara zake hasa kwa muhusika kwani binadamu ni tofauti kimahitaji. Wengi mmetaja hasara zaidi. kuangalia porn kuna faida hasa kwa wale ambao ni dhaifu kwenye tendo inawasaidia kumudu. Pia ni njia bora ya kupumzisha ubongo kama ilivyo michezo ya kompyuta kwani huongeza umakini wa ubongo na IQ...........
 
Asante mkuu. Nasikia raha moyoni ninapoona wakuu kama ninyi ma-scientist mnavyo elewa athari ya hii mambo kisayansi.

Niliweka hii mada ili wale waendao kule jukwaa la kikubwa "uasherati" waelewe athari ya porn kwa maisha yao.

Max...... Too much is always hamful!! je kuangalia ngono kupita kiasi kunasababisha brain damage au just kutazama ngono unapata brain damage? naomba jibu....Warning..........elimisha watu lakini usiingilie faragha zao.....katika jukwaa la kikubwa watu pia tunanpata elimu nzuri tu hasa ktk sayansi ya kujamiiana (sexiology) so ucponde jukwa hilo liheshimu mkuu.......na ya uchawini uyaache uchawini........ya wakukubwa kule ukwabwani waachie wakubwa wenyewe wahangaike nayo.............bt thanx anyway for your post it is of much benefit mzeiya
 
Asante mkuu. Nasikia raha moyoni ninapoona wakuu kama ninyi ma-scientist mnavyo elewa athari ya hii mambo kisayansi.

Niliweka hii mada ili wale waendao kule jukwaa la kikubwa "uasherati" waelewe athari ya porn kwa maisha yao.
Thank you Max kwa post hii. I have to be honest with you, natembelea hilo jukwa from time to time na kama mara 2 hivi nimesha kuta child pornographic material. of course I have reported it ila kilichoniumiza nikuona kuna watu walikua wanachangia tu, hata hawaoni kua ni watoto. Sio kwa ubaya, ila they just couldn't see any danger in it! na pia kuna kiwango kikubwa zaidi cha watu wenye kupiga picha za wanawake hapa hapa TZ, wanakuja kuzipost. zamani ilikua ni material copy pasted from the web ila sasa they have "banalized" the issue... it raises some concern kwa kweli... inaonesha whatever they are used to see in the net they replicate it in real life na matokeo yake ndio hao ma housegirls, ma prostitute wanaanikwa hapa kama prizes... there was even a picture of a woman with a 2 or 3 year old boy in the background. uschungu sana MaxShimba.
 
Russian Roulette

Mimi hilo jukwaa huwezi kunikuta kamwe na naamini hakuna kilichonipungukia.

Naamini it's a matter of principle na kuangalia pornography kunakuweka kwenye statistics za watu wanaoangalia kwa siku ambayo inawafanya wengine waamini ni kitu cha kawaida kwa vile wengi wanafanya.

Jitowe kwenye hilo jukwaa, jitoe kwenye statistics
 
Haya mama, nimekusoma, nitafanyia kazi ushauri wako... thank you
 

Love it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…