Prince Nadheem
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 1,259
- 1,056
achana na picha chafu tu (hapo utakuwa umevunja sheria zaidi ya moja) hata kupigia watu kelele na miziki yako ni unsocial behaviour na public nuisance.., sasa tukianza kuchambua hapo kwa sheria za kitanzania huruhusiwi hata kuwa na pornographic material let alone showing it to people (ambapo kunaweza kuwa na minors hapo)Mwambie konda na Driver wapeleke gari Polisi. Kwa wanataaluma ya sheria naomba mtujuze: Hakuna sheria ya kuharamisha uonyeshwaji wa picha chafu katika public area?
habari za jioni wana jamii!? nipo kwenye costa natoka Bagamoyo kutembelea rafiki zangu.
jambo ambalo limenituma hadi naanzisha hii thread ni kwamba kuna mtu amekaa siti ya nyuma yangu ana simu lake la mchina.
sasa huyo mtu ni anaangalia pornograh tena kwa sauti ya juu kabisa!
jambo ambalo kidogo nimeliona ni absurd ni kwamba nimeingia nimekuta bado siti mbili yani gari limejaa na ni watu wa rika tofauti hadi kina baba na mama.
ni kutokana na hali niliyoikuta ya watu kutochukua hatua imebidi nami nifunge mdomo coz am afraid may be watu walireact halafu jamaa akariakt plus plus ndo maana ameendelea na dominance yake.
jamani hata nakosa maneno ya kuendelea...
kama ni simu ya Mchina nadhani muda si mrefu battery itakwisha.., vichaa kama hao sio wa kuwa-confront wanaweza wakamalizia stress zao kwako, ingekuwa busara kama abiria mgeshuka kuliko kuendelea kupata huo uozo au hakuna gari jingine karibu?
Sasa mkuu hapo ubora upo wapi (yaani kusikilizishwa kitu ambacho hutaki tena mbele ya watu ambao umri ni kama wazazi wako na dada zako) au kuuziwa kitu ambacho hulazimishwi kununua wala kuangalia ?si bora huyo nenda ubungo mataa wanavyo ziuza kama njugu au vitumbua kwenye madaraja ya barabara za mwananyamala..
Mwambie konda na Driver wapeleke gari Polisi. Kwa wanataaluma ya sheria naomba mtujuze: Hakuna sheria ya kuharamisha uonyeshwaji wa picha chafu katika public area?
Ouch! Mamaa mbavu zangu. Mkuu umenikumbusha mbali sana dah.Duh mkuu umenikumbusha siku moja tulikua kwenye lecture kumbe kuna mdingi alikua anacheki pono asa kwa bahati mbaya akaongeza sauti aisee hapakutosha ilibidi mbindigi amtupie dogo alie kaa karibu coz alishindwa hata kuzima kwa kiwewe!
Bagamoyo? Huyo abiria si nikisikia alikuwa Malawi baada ya kutoka Brazil? kumbe amesharudi!!
Mwambie aache ushamba na ngono zakeanakwaza watu.
Anaonyesha au anaangalia?
Mtoa mada. . .
Ombeni redio iwashwe msisikie!!