Je yule mgombea akishindwa je atatangazwa kwa haki kuwa ameshindwa?Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
Angalia hili guluguja lilivyovimbiana mashavu kama linapuliza moto .Makalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
huo ni ukweli mtupu. Na ni lazima kuambia na ukweliMakalla anatudanganya eti atakayeshinda kwa haki atangazwe, ina maana uchaguzi uliopita wapinzani hawakushinda kwa haki baadhi ya majimbo walidhulumiwa? Tanzania hii kuwa na uchaguzi wa haki ni pale Jumuiya ya kimataifa itakapoingilia kati na kuwa na wasimamizi huru wa uchaguzi.View attachment 3320794
Ingependeza sana hilotumbo lipasukie jukwaani minyoo yote itoke nje.Limeshiba na kuvimbiwa kodi zetu mkuu! Natamani Mungu angekuwa anayasulubu yanapasukia majukwani!