Porsche Carerra ya Joseph Kusaga

speechwriter

Senior Member
Joined
Jul 4, 2011
Posts
137
Reaction score
50



Its good to see the brother anazungusha na Porsche in Dar...nishachoka kumwona Ketan (naskia kaingiza Bugatti ) na magari mazuri.....lakini naomba kuuliza, hivi how does he maintain that monster in Dar? Hivi wapo ma dealers wa Porsche in Dar au anaipeleka Nairobi?

Once again I was really impressed kumwona mswahili anaendesha hili gari considering tulikotoka mbali (at least kwa umri wangu) kulee sensui pale salenda brigde

anyone?

Unajua tena tunaweza kupata ya ma dealers na walau na sie tukaweza kuviendesha. Mind you Porsche Cayenne zimejazana Dar ila mambo ya Carerra au Boxter nimemwona nayo JK tuuu
 
Kumbe ndiyo maana watu wana vijiba vya roho.

Sasa akianza kusukuma 2011 Panamera lazima wazushi watasaga sumu!
 
Hizo zote kwenye picha ni za kwake? na ni wapi hapo naona kama panafanana na Samora Avenue.
 
hongera zake sana anastahili, acha aufurahishe moyo wake baada ya kusota kwa muda , helo joe
 



kama hapa ni tanzania
nahama nchi!

mleta mada una visa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…