Mekatilili
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 1,613
- 1,383
Hamjamaliza kuhamia Dodoma tangu mwaka wa 1965? [emoji15]
Bado masaa 11 tu, baada ya hapo ni Kenya kwisha! Tuwe wajanja jombaa, isije ikatupata kama suprise mimi nimejichimbia handaki.Safi sana, dah hiyo ni rekodi mpya
Wadau wa "mwakani" tunahesabu masaa.
Very good news.KPA surpassed its Containerized Cargo targets of 1.35 Million TEUs to record a whopping 1.4 Million TEUs 72 hours before end of 2019. Breaking the news to the media this morning at Berth 16, KPA MD Dr. Arch. Daniel Manduku said the Port managed to top its promised target by 3.7%