Portable computer/laptop

klf

Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
58
Reaction score
11
Wale wanakumbi niliowateremshia kamusi yangu ndogo ya "Istilahi ya Ngamizi" nataka kuwarifu kwamba inaonekana kuwa "laptop" siku hizi neno laki la kiswahili ndilo "ngamizi mpakato". Vizuri kabisa! Kielelezo safi kwamba mtu akifikiri tu ataweza kutunga maneno yenye usanifu kwa dhana hata wa kiteknologia. Nawaomba mwingize neno hilo kwenye kamusi hiyo.
Nirudie ahadi yangu ya zamani: mtu yeyote awe mtaalamu wa lugha awe mtu anayependa kuendeleza kiswahil karibu kamusi yangu bure bilashi!
Kevin (klfmzungu@gmail.com)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…